Lyrics
Mmmmh baaady Shiiih!
Nampenda mmoja sitaki mwingine Msiniwaze
Namtaka mmoja simtaki mwingine Msiniwaze
Aaaah
Aaah nalia nalia naliaga
Akininunia napagawaga
Nalia nalia naliaga
Akinisusia nachachawaga
Hivi huku ndo wanaitaga kupendana
Siwezi kula bila huyu kijana
Hivi haya haya ndo mapenzi
Siwezi kulala bila haka kadada
Nampenda mpenda
Msichana mmoja
Mweupe kidogo
Mweusi kidogo
Nampenda mpenda (Nani)
Msichana mmoja (Nani)
Mweupe kidogo (Nani)
Mweusi kidogo (Nani)
Hivi huku ndo wanaitaga kupendana
Siwezi kula bila huyu kijana
Hivi haya haya ndo mapenzi
Siwezi kulala bila haka kadada
Ananikosha roho
Ananirusha roho
Ananikuna kuna
Ananirusha roho
Anavyopita ananukia kama malaika
Ndo huyo huyo huyo shemu wenu
Anavutia kama malaika
Ndo huyo huyo huyo shemu wenu
Hivi huku ndo wanaitaga kupendana
Siwezi kula bila huyu kijana
Hivi haya haya ndo mapenzi
Siwezi kulala bila huyu kijana
Nampenda mpenda
Mkaka mmoja
Mweupe kidogo
Mweusi kidogo
Nampenda mpenda (Nani)
Mkaka mmoja (Nani)
Mweupe kidogo (Nani)
Mweusi kidogo (Nani)
Hivi huku ndo wanaitaga kupendana
Siwezi kula bila huyu kijana
Hivi haya haya ndo mapenzi
Siwezi kulala bila huyu kijana
Designed by Admalic Inc. BMB © 2024.