[Lyrics] Aslay – Follow Me Ft. Harmonize Lyrics

“Follow Me”

Eeh haa
Eeh haa
Aii aiii
Eeh Haaa

Ok sina pesa kama Bilgate
Nina pesa tu za kukufanya usinicheat
Nitakupa utamu yaani mapenzi ya dhati
Follow me

Eeh we mtamu kama cake
Uzuri wako EX wangu haufikii
Nakuomba baby
Please follow me
Hmm

Nimefunga break nimeweka nukta
Kwenye barabara umeweka tuta
Yaani we ndo beki bonge la ukuta baby…
Unakula alichokisusa
Ex
Unakula nyama mpaka mifupa
Ex
Unataka nini mimi nitakupa baby

Nitavunja Nazi ubani
Nachotaka uwe nami
Baby follow me
Nimefumba macho sioni
Umeniweka moyoni
Baby follow me

Follow Follow Follow me
Mwenzako hoi taabani
Sitaki kukuacha please follow me
Ayee ayee
Kolo kolo kolo me
Nakupenda wala sikutamani
Usije kunikataa please Follow me

Hivi watajuaje kama unananipenda
Usiponifuta kila ninapokwenda
Bila macho kuona ningekupiga denda
Follow me

Siku tukiachana ni mungu amependa
Ila si kwa maneno yawanakwenda
Watatuona mbele tunakwenda
Follow me

Sa baby ntaanzaje kukuacha
Wakati mi na wemapacha
Wanakuja wanatuacha
Follow me

Honey Honey
Sina gari na nyumba
Ila kinatutosha kichumba
Nikifumba macho we fumba
Follow me

Oooh
Mwenzako navunja nazi ubani
Ninachotaka uwe nami
Please follow me
Ukweli wangu moyoni
Wengine sioni
Please follow me
Follow me baby

Follow Follow Follow me
Mwenzako hoi taabani
Sitaki kukuacha please Follow me
Follow me
Kolo kolo kolo me
Nakupenda wala sikutamani
Usije kunikataa please
Follow me
Eeh

Ukweli wangu moyoni wengine sioni
Please follow me
Follow me baby

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…