[Lyrics] Barnaba – Rockabye Lyrics

Read Rockabye Lyrics By Barnaba Classic Below:

Nakupenda hadi naogopa

Kuna muda najikuta naropoka

Maneno yanitoka mmmh

Ung’ae kama mbala mwezi

Niwe yako nyota

Ukiugua niwe wako dokta

Ndege nikuhifadhi kwa kiota

Yani pambe baby ukiniita

Nguvu zinaniisha nalegea

Kabisa kabla hujanishika

Mwenzako baby ukiniita

Nguvu zinaniisha sijafa ninazikwa

Ujana waniisha

Rockabye baby rockabye

Im gonna need you

Rockabye baby rockabye

Straight to my bed tonight

Rockabye baby rockabye

Im gonna need you

Rockabye baby rockabye

Straight to my bed tonight

Habiby siwezi

Nyumbani sifosiwi mwenyewe

Narudi tu

Nikiwa mbali nae nahisi namkosa

Moja mbili haikai nikimkosa si bure

Kuna kitu umenifanya

Kama kuroga umeniroga vizuri

Nipe namba ya mganga na nimwambie

Baby aongeze dawa

Ukiniita nalegea kabisa

Kabla hujanishika

Mwenzako baby ukiniita

Nguvu zinaniisha

sijafa ninazikwa

Ujana waniisha

Rockabye baby rockabye

Im gonna need you

Rockabye baby rockabye

Straight to my bed tonight

Rockabye baby rockabye

Im gonna need you

Rockabye baby rockabye

Straight to my bed tonight

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2023.

I need help with…