[Lyrics] Diamond Platnumz – Naanzaje Lyrics

Lyrics
Aliumba ardhi akaumba mbingu
Akaumba mbaramwezi kaumba nafsi, Kaumba wivu
Akayaumba na mapenzi na kukuacha sidhan
Siwezi jaribu maana penzi kwa mzani
Umenizidi mahabibu shika vyema usukani
Twende taratibu
Baada Ya tuta baby Koleza gia
Yani tam tam kama pipi nakuita sweet
Ah lote lote fundi kwenye kwichikwichi
Shape vipi kama lote
Vicheche nisha delete sitaki cheat
Wa toke toke kwenye moyo nimekupa seat
We ndo dereva, sio wa kukuacha oh
Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje
Mwenzako kukuacha siwezi
Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje
Kukuacha oh, kabisa siwezi
Hadithi kuja hadithi njoo utamu kolea
Mzenzenu huba liko kwa roho limеninogea
Vishenshuda poleni wooo mnalo wambеya
Mtaja kuumwa makwasha koo kwa kutuongelea
Tena me kwake ndo daktari nampa tiba halali
Wanaitaga sukari alamba haam
Na jana nilifunga nkasali nikamuomba jalali
Tuepushe madhohari ya wanadamu
Ah ah, we tam tam kama pipi nakuita sweet
Ah lote lote fundi kwenye kwichikwichi
Shape vipi kama lote
Vicheche nisha delete sitaki cheat
Wa toke toke kwenye moyo nimekupa seat
We ndo dereva, sio wa kukuacha oh
Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje
Mwenzako, kukuacha siwezi
Naanzaje, Naanzaje, Naanzaje
Kukuacha oh, kabisa siwezi
Na kukuacha sidhani siwezi jaribu
Maana penzi kwa mzani umenizidi mahabibu
Wasafi

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…