[Lyrics] Diamond Platnumz – Toka Mwanzo (ft. Fatma & Romy Jones) Lyrics

“Toka Mwanzo”
(feat. Fatma, Romy Jones)

Yeah, yeah, yeah, yeah (ah ah)
Bae, bae, bae, babe
Yeah, yeah, yeah, yeah (ah ah, ah…)
Bae, bae, bae, babe
Ma, ma, ma, ma (ah ah ah)
Bae, bae, bae, babe (ah…)

Mama kwanza nilipokwona na
Ulisema ati just a friend now
Wala kwanza huna mpango naye
Alitaka tu mka spend a ride
Na na na ukamkatalia
Ukamkimbia
Baki anaumia na
Eti kuanalia
Tena kwa hisia
(Ati kisa kuwa na we)
Maneno mengi kunidanganya
Nikiwa sipo kumbe mnafanya
Nimeshow love tena kwa sana
Nitakosea nikikuita player
Sitokosea nikikuita player mbona we
(Come on, come on, come on, come on)

Sasa si wala we ungesema toka mwanzo
Kama sipo hata kwenye yako mawazo
Kisa nini ya mapenzi alizo nazo
Hizo ambazo zimekuvutia
Kwenye hizo zimekuvutia…
Hizo ambazo zimekuvutia
Kwenye ambazo zimekuvutia wewe
Zimekuvutia
Ati bora ningesema toka mwanzo
Kama upo hata kwenye yako mawazo
Kisa nilie mapendo nilizo nazo
Hizo ambazo zimenivutia
Hizo ambazo zimenivutia…
Zimenivutia
Hizo ambazo zimenivutia mimi…
Zimenivutia…

Usinizuge kwa makiss kibao
Ati “Diamond, nakupenda sana”
Nikiwa sipo unanipiga bao
Kwa mamisemo kwa
Utadharau namba hii uchechema
Sasa vipi?
Vipi?
Vipi?
Sasa sa vipi?
Vipi?
Vipi?
Wewe
Hamna noma nitaride nao
Bora mtakoma bonge la mshangao
Aya
Wewe sawa
Wewe
Maneno kibao ’cause unipenda, alright
Na naomba mshangao zaidi ya kima, alright
Unasema hutaki niona na, ye ye
He’s just a friend baby, naomba nielewe
Ni wangapi nimeponda nao
Wala kwanza sina mpango nao
Ukiniona nao unasema maboy
Sasa nitakuwa na wangapi
Wangapi mimi?

Sasa si wala we ungesema toka mwanzo
Kama sipo hata kwenye yako mawazo
Kisa nini ya mapenzi alizo nazo
Hizo ambazo zimekuvutia
Kwenye hizo zimekuvutia…
Hizo ambazo zimekuvutia
Kwenye ambazo zimekuvutia wewe
Zimekuvutia
Ati bora ningesema toka mwanzo
Kama upo hata kwenye yako mawazo
Kisa nilie mapendo nilizo nazo
Hizo ambazo zimenivutia
Hizo ambazo zimenivutia…
Zimenivutia
Hizo ambazo zimenivutia mimi…
Zimenivutia…

Baby girl
Najua unanipenda
But sometime, kwanini unenitenda
Unaniumiza roho
Sifauti ya hao
Na chill
Na feel
Nahisi sina deal
Na kama unakuja njoo tena for real, ma
Nakuja natoka nakuacha nacheka
Ukiniona unadeka na kumbe nikiondoka unateta
Come on
Baby
I’ll never let you go, go
Like crazy
Nabaki sema no, no

Diamond
Like crazy
Nabaki sema no…
Nabaki sema no
Oh oh
Oh, ah…
Crazy…

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…