[Lyrics] G Nako – Tusipangiane Ft. Rayvanny Lyrics

Lyrics
Chui, waraaa ooh nono ooh nono
Tusipangiane, tusipangiane
Una life lako nina life langu tusipangiane
Kwani wanateseka wakiwa wapi?
Wanateseka wakiwa wapi
Kwani wanateseka wakiwa wapi
Wanateseka wakiwa wapi?
Tumeshaachana bwana weeh emb toka
Maswali ya upo poa umekula umelala
Kwani we ni doctor ?
Tumeshabwagana bwana weeh we ondoka
Maswala ya kunitisha utaona, utajuta we msoma nyota
Ooh lolo loo
Live your life as i live my life
Basi pita kushoto live your life
Unajifanya huoni eeeh?
Inakuchoma unajikaza
Unajifanya huoni eeh?
Wakati ukisinzia unaniwaza
Mnaonifwatilia mtakufa presha
Kila siku zinazidi pesa
Wachawi tunapishana mi nimeshasepa
Maana mkija kuwanga mi nipo nakesha
Tusipangiane, tusipangiane
Una life lako nina life langu tusipangiane
Kwani wanateseka wakiwa wapi?
Wanateseka wakiwa wapi
Kwani wanateseka wakiwa wapi
Wanateseka wakiwa wapi?
Eti laniloga kanishika akili simuachi
Kanipendea pesa wanga hiyo ndio hamtaki
Haya mpe mama pesa, , pesaaa
Mwongeze pesaaa,
Mpe na gari, pesaaa
Wakafe na preshaa, preshaaa
Oyo oyo oyo oyo
Na nikukuhonga nyumba je watakomaje?
Maisha sio darasa na wewe sio mwalimu
Watakupapasa utajikuta kuzimu
Yaani wee google google, google
Wajua kila kitu
Fuko fuko fukunyunyu kila siku
Tusipangiane, tusipangiane
Una life lako nina life langu tusipangiane
Kwani wanateseka wakiwa wapi?
Wanateseka wakiwa wapi
Kwani wanateseka wakiwa wapi
Wanateseka wakiwa wapi?
Live your life as i live my life
Basi pita kushoto live your life
Live your life as i live my life
Basi pita kushoto live your life

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…