[Lyrics] Harmonize – Mwaka Wangu Lyrics

Lyrics
Yaw yaw
Jeshii
Lalalilaa
Mmh
Lalalaa
Chiii
Eeh
Ni mwaka mpya mambo mapya sina zhambi nimetubu
Na pesa ntazichanga changa nizijaze kwa kibubuu
Japo hata kakibanda nikajenge huko pugu
Maana nyumba za kupanga nishazichoka vurugu
Eti kwani wao waweze wana nini
Mmmh! na mimi nishindwe nina nini
Nishachoka siku zote kuwa wa chini
Wengine wanakula kipupwe ma ofisini
Mliosema haolewi, olewi mbona kaolewa
Mliosema hapewi, hapewi mbona amepewa
Mwaka huu ni wangu
Kutimiza ndoto zangu
Nasema mwaka huu ni wangu
Kwa baraka za mungu wangu, Dear lord
Hakuna mungu kama wewe baba (eh hakuna)
Kama wewe yawe (eh hakuna)
Hakuna mungu kama wewe baba (eh hakuna)
Kama wewe yawee (eh hakuna)
Huu mwaka nakusanya mavumba ninunue gari yangu
Na wale waliosema mimi ni mguma waje kumuone mwanangu
Huu mwaka, marafiki wasio na faida nawaweka pembeni
Wanaokufata wakati wa shida ii wapate hafueni
Niwaonyeshe walionidharau kama mungu anaweza
Nami nipande dau niwasalimu kingereza
When God say yes, nobody can say no
When God say yes, nobody can say no
When God say yes, nobody can say no
When God say yes, nobody can say no
Miosema haolewi, olewi mbona kaolewa
Mliosema hapewi, hapewi mbona amepewa
Mwaka huu ni wangu
Kutimiza ndoto zangu
Nasema mwaka huu ni wangu
Kwa baraka za mungu wangu, Dear lord
Hakuna mungu kama wewe baba (eh hakuna)
Kama wewe yawe (eh hakuna)
Hakuna mungu kama wewe baba (eh hakuna)
Kama wewe yawee (eh hakuna)

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…