[Lyrics] Harmonize – Yanga Lyrics

Lyrics
Hii hapa sauti ya Konde boy mjeshi
Mtoto wa jangwani timu ya wananchi
Yaani kati kati ya jiji la Dar
Si ndo watoto wa jangwani Yanga Dar Africa
Makombe ya kabatini Hawawezi kufika
Mpira unapigwa chini magoli uhakika
Yaani dakika tisini tumesha watundika
Wanaona donge hao wanyonge
(Wanaona donge hao wanyonge)
Yanga tunaposhinda wanaona donge
(Wanaona donge hao wanyonge)
Wanaona donge hao wanyonge
(Wanaona donge hao wanyonge)
Yanga tunaposhinda wanaona donge
(Wanaona donge hao wanyonge)
Engineer naomba nikutume
Unifikishie salamu
Kwa Dr Msolo na Antonio Lugazi
Ah waambie majirani Yanga sio size yao
Yanga sio size yao, Kabisa!
Wanaokwenda na waende, watuachie wenyewe
Yanga sio size yao, Yanga sio size yao
Yanga sio size yao, Yanga sio size yao
Yanga sio size yao, Yanga sio size yao
Tupeleke GSM
Watoto wa GSM
Wanangu wa jangwani
Pale pale wanachechemea (Yanga tunatembea)
Wahuni wanachechemea (Yanga tunatembea)
Eeeh wanachechemea (Yanga tunatembea)
Aaah anachechemea (Yanga tunatembea)
Wamechoka wanachechemea (Yanga tunatembea)
Eeeh wanachechemea (Yanga tunatembea)
Yanga kindakindaki wapige waniue
Naipenda Yanga kindakindaki wapige waniue
Eeeh mimi shabiki kindakindaki wapige waniue
Yanga kufa kupona wapige waniue
Eeh basi kama unaipenda Yanga piga makofi
We wote tena twende, piga makofi
Kama unaipenda Yanga piga makofi
Ongeza ongeza tena, piga makofi
Aya pasha pasha wahuni pasha
Twende pasha pasha wahuni pasha
Aya pasha pasha danga pasha
Nasema piga makofi piga makofi
Piga makofi piga makofi
Piga makofi piga makofi
Piga makofi piga makofi
Kama wewe ni shabiki kweli
Onesha jezi nikuone
Uzi mweupe wa GSM
Wewe onesha jezi nikuone
Kama kweli shabiki damu
Vua jezi nikuone
We kama kweli shabiki damu
Lala chini tukuone
Asa Yanga daima mbele, mbele kwa mbele
Wakishindana na sisi watachuna tembele
Twende mbele kwa mbele, Yanga daima mbele
Wakishindana na sisi watachuna tembele
Yanga daima mbele, mbele kwa mbele
Wakishindana na sisi watachuna tembele
Yanga daima mbele, mbele kwa mbele
Wakishindana na sisi watachuna tembele
Watoto wa jangwani
Waambie majirani zetu wamechokoza nyuki
Tunawapumulia golini kwao hatubanduki
Anayezungumza hapa ni Konde Boy mjeshi
Twende sasa!

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…