[Lyrics] Jux – Kibindoni Lyrics

Lyrics
Kwenye love niko fofofo
Umenidatisha wewe mtoto
Napiga mbizi maji ya ugoko
Baridi unanipa joto
Oooh baby don’t let me go, don’t let me go
Aiii najua dhamani yako
Just let me know, just let me know
Mimi sitaki ubaki peke yako mama
Aaah aah aah…
Sitaki wewe kuumia
Aaah aah aah…
Ado ado mama ado ado
Aaah aah aah…
Sitaki wewe kuumia
Aaah aah aah…
Eeeh
Kasura kako kanaumiza roho
Mama mama mama
I’ve never seen before
Mama mama mama
Kasura kako kanaumiza roho
Mama mama mama
I’ve never seen before
Mama mama mama
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Yaani kama taa mama
Wewe umenizimaga
Ila, na watu wanashangaa
Kitu gani mi nakupaga
Na mizigo yote nimeshaitua
Nimefika mwisho wa reli Kigoma
Uzuri wako wote wanajua
Mtoto umenyooka kinoma
Aaah aah aah…
Haa wabishe wakatai
Aaah aah aah…
Hayani mi nyanya nyanya
Aaah aah aah…
Sijiwezi mama sijiwezi
Aaah aah aah…
Kasura kako kanaumiza roho
Mama mama mama
I’ve never seen before
Mama mama mama
Kasura kako kanaumiza roho
Mama mama mama
I’ve never seen before
Mama mama mama
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Wacha wakukodolee macho
Wakukodolee macho
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni
Iko kibindoni waite, kibindoni

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…