VERSE 1
Jina lako sweat melody
Mpaka naandika verse
Penzi lako limenipa uchizi eeeh
Kukuacha sio wepesi
Pendo langu ukumbate chanda
Jua we ndo chaguo languu
Ubavu wa kitanda
Sema na moyo wangu
Usije nipa kidonda uwe karibu yanguu
BRIDGE
Chumbani kwangu nimejaza picha zako (mmh)
Kila wimbo nalitaja jina lako (mmh)
Ukiwa mbali nalimiss penzi lako (mmh)
Nitachora tatoo niandike sifa zako
CHORUS
Baby nana (I sing for you eh)
Sema ooh baby (i sing for you)
I gonna sing for you for you darling
(I sing for you eh)
Sema sema ooh baby
(I sing for you eh)
I gonna sing for you ouhh
Ooooh ooooh
VERSE 2
Kama elimu ya mapenzi darasa la sana
Nishamalizaa
Somo lakuenzi kanifunza baba
Sitakuumizaa
Penzi niko kwa kibwenzi anaweza taga
Kwa miujizaa
Tumuombe mwenyezi kwa haba na haba
Nadundulizaa
Mpenzi mpenzi na leo nataka tena
Mpenzi nipe mapenzi nilale huku nasema
Ibilisi lanaa lanaa tusimkaribishe
Tusije gombana gombana tumfaidishe
BRIDGE
Chumbani kwangu nimejaza picha zako (mmh)
Na Kila wimbo nalitaja jina lako (mmh)
Ukiwa mbali nalimiss penzi lako (mmh)
Na Nitachora tatoo niandike sifa zako
CHORUS
Baby wewe (I sing for you eeh)
Naimba na wewe na wewe dear
(I sing for you eh)
Milele milele (I sing for you eh)
Oh oh baby chin baby
(I sing for you eh)
Milele milele (I sing for you eh)
OUTRO
Ibilisi lanaa
lanaa tusimkaribishe
Tusije gombana
gombana tumfaidishe