[Lyrics] Kusah – Mungu Tu Lyrics

Kusah tena 

Ooooooh 

Binadamu siwawezi bora nibaki na mwenyezi

Kuna jua kuna mwezi nakupangua hatuwezi 

Asante Baba kwa mkate na kikombe 

Kilicho baki acha mimi nikuombe 

Binadamu umetuumba na unyonge 

Nikikosea Mungu naomba unione 

Nasiogopi mtu namuogopa Mungu tu 

Nasijali lolote namuogopa Mungu tu 

Nasiogopi kitu namuogopa Mungu tu

Nasijali lolote namuogopa Mungu tu 

Hizi shida zangu zinanitosha 

Sitaki matatizo sitaki matatizo

Hizi shida zangu zinanitosha 

Sitaki matatizo sitaki matatizo  

Ulishapiga mastory  niko howi 

Sitoboi tena 

Wakaapa sitoboi sitoboi 

Sitoboi tena 

Siwalisema yatopita leo Mungu kawanyamazisha 

Wakapanga mpaka vita katikati yao nikapita 

Nasiogopi mtu namuogopa Mungu tu

Nasijali lolote namuogopa Mungu tu 

Nasiogopi kitu namuogopa Mungu tu 

Nasijali lolote namuogopa Mungu tu 

Hizi shida zangu zinanitosha 

Sitaki matatizo sitaki matatizo 

Hizi shida zangu zangu zinanitosha 

Sitaki matatizo sitaki matatizo 

Hizi shida zangu zinanitosha 

Sitaki matatizo sitaki matatizo

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…