[Lyrics] Lava Lava – Tajiri Lyrics

Lyrics
Nilikupigia simu
Chaji ikakata
Nikakutilia timu mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu
Nitakulaje bata
Wewe ni mtu muhimu nikiwa nawe najipata
Hallo hallo hallo hallo
Hallo hallo hallo hallo
Ehn love bite
Afadhali nimekuona
Afadhali tumeonana
Afadhali nimekuona
Afadhali tumeonana
Nilikaa kinyonge sana
Tajiri Huna adui, tajiri
Wacha niagize pombe nyama
Tajiri Huna adui, tajiri
Na bebe ziletee savana
Tajiri Huna adui, tajiri
Tajiri atalipa bwana
Tajiri Huna adui, tajiri
Nilikupigia simu
Chaji ikakata
Nikakutilia timu mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu
Nitakulaje bata
Wewe ni mtu muhimu nikiwa nawe najipata
Hallo hallo hallo hallo
Hallo hallo hallo hallo
Hwanza hunaga mapozi(hauna mbambamba)
Wala hunaga mamluki(hauna mbambamba)
Haki yamungu ukifa uozi(hauna mbambamba)
Naukioza unuki tulikaa kinyonge sana
Tajiri Huna adui, tajiri
Wacha niagize pombe nyama
Tajiri Huna adui, tajiri
Wanangu wazimike jama
Tajiri Huna adui, tajiri
Tajiri atalipa bwana
Tajiri Huna adui, tajiri
Asa mwaga noti mwaga (mwaga)
Tajiri mwaga (mwaga)
Asa mwaga noti mwaga (mwaga)
Tajiri mwaga (mwaga)
Eh mwaga noti mwaga (mwaga)
Nasema mwaga (mwaga)
Eh eh mwaga (mwaga)
Jamani mwaga (mwaga)

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…