[Lyrics] M Nex Nex I – Pretty Girl Lyrics

Yeeieee oh no, heee iyeeiee ah
Jax Ink
She say she no go leave me alone, she says baby I like your body
She dey high me like cocaine oh, na she never say no no
She says never use de Hennessy
She say this my body your property
Me I never commote
My baby so smart yani Kila weekend tuna part, on the way to masaki
Na kwenda mwenyewe ndo hataki
Anawaka, sio masihara anawaka
Anawaka, she so bright
Anawaka, sio masihara anawaka
Anawaka, she so bright
She so sexy sexy beautiful, shape la gunia kifuani kifuu
Nampetipeti baby boo, swaga za kuringa zipo kwenu tu
Kama maumivu ni ya ugoko, Kama ni adhabu we ndo kiboko
Kama we kijiko me ni ukoko, girl umeni-tight
Najidai, najidai najidaidai, lako penzi linafanya me nafrahi frahi
Kama suti me ni tai, me ni tai tai, yeeh eh yeiii
Najidai, najidai najidaidai, lako penzi linafanya me nafrahi frahi
Kama suti me ni tai, me ni tai tai, yeeh eh yeiii
Oh nana na Mimi ni wako baba ba, onana nana, oh nana twafanana,
Tunafana eh na tunaendana. Sisi tunaendana, Kama mapacha eh tunafanana
Anawaka, sio masihara anawaka
Anawaka, she so bright
Anawaka, sio masihara anawaka
Anawaka, she so bright
She so beautiful, beautiful, beautiful
She so sexy girl, bright girl, pretty girl.
Anawaka iyee
Anawakawaka.
Anawaka ayiii
Anawaaa
Anawaaaa
Anawaaa
Anawaaa
She so bright
It’s a trap house records

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…