[Lyrics] Macvoice – Muongeze (ft. Rayvanny) Lyrics

Anataka hennessy muongeze
Anataka moet muongeze
Beer mpe kwa kreti muongeze muongeze
Muongeze muongeze
Anataka hennessy muongeze
Anataka moet muongeze
Beer mpe kwa kreti muongeze muongeze
Sound boy

Muongeze muongeze muonge sharp sharp
Muongeze muongeze muongeze
Uyo ex umemtukana hakomi
Akipiga tena muongeze
Si alichezea block, anachezea block kama akitaka block, muongeze
Dada ukiwa gogo chumbani utaambulia soda tu
Ila ukitaka gari na pesa akiataka hata mara kumi, muongeze
Hela ya saloon, muongoze
Hata ya vikoba, muongoze
Akikupa utamu mlipe na nauli ya boda boda, muongoze
Hapaa hakuna cha kure, hauna ela kalale we msukule
Hapaa hakuna cha bure, kakoise ulale, kesho shulee

Anataka hennessy muongeze
Anataka moet muongeze
Beer mpe kwa kreti muongeze muongeze muongeze
Anataka hennessy muongeze
Anataka moet muongeze
Beer mpe kwa kreti muongeze muongeze
Muongeze muongeze muonge sharp sharp
Muongeze muongeze muongeze

Kakuibia bwana ako, hilo kofi halimtoshi, muongeze
Ukimroga anakuhonga dawa shosti, muongeze
Sura nzuri umepewa na mama yako
Kata tiketi uturuki hayo mata, muongeze
Miuno kogo muongeze
Kulamba mkongojo, muongeze
akikuchiti na dada mweupe hiyo mikorogo, muongeze
Hapaa hakuna cha bure
Kwenda babuu
Hauna ela kalale we msukule
Hapaa hakuna cha bure, kakoise ulale, kesho shulee

Anataka hennessy muongeze
Anataka moet muongeze
Beer mpe kwa kreti muongeze muongeze muongeze
Anataka hennessy muongeze
Anataka moet muongeze
Beer mpe kwa kreti muongeze muongeze
Muongeze muongeze muonge sharp sharp
Muongeze muongeze muongeze

Hatuondoki hatuondoki n’goo
Yani bila mademu humu ndani hatutoki n’goo
Hatuondoki hatuondoki n’goo
Yani bila mademu humu ndani hatutoki n’goo

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…