[Lyrics] Marioo – Only You Ft. Jux Lyrics

Lyrics
Aaah
Aaah aaaah
Ikitokea sijalala nimekosa usingizi hata ham ya kula sina
Ikitokea nna amani moyoni nna amani mpaka ham ya kula sina
Talk to me my love talk your love medicine to me yani dawa
You are the only one for me we ndo tamu yangu
Me chochote we niambie ni sawa (sawa)
Vitu vyote vizuri kwenye dunia
Wabaki navyo waniachie wewe my wangu (my wangu)
Wapo wengi wazuri kwenye hii dunia
Ila siwataki uliye kwenye moyo wangu
Only you only you only you only you
We ndo nakupenda (only you)
Hata waseme umeniroga kwangu mi sioni mbaya
Vile nimepagawa kwako we kama umeniroga
Acha waseme mi muoga bado sioni mbayaa
Nahofia bila wee baby umeniroga
Oooh mama moyo wangu mtekee
Usiniachee mpweke utaniumiza
Oooh mama moyo wangu mtekee
Usiniache mpweke utaniumiza
Vitu vyote vizuri kwenye dunia wabaki navyo
Waniachie wewe my wangu wako Wengi waazuri kwenye hii dunia
Ila siwataki uliye ndani ya moyo wangu
Only you only you only you only you
We ndo nakupenda (only you)

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…