[Lyrics] Mbosso – Umechelewa Lyrics

Ulikuwa wapi wakati nalia lia na mapenzi

Ulikuwa wapi wakati silali nakosa usingizi
Ulikuwa wapi wakati nashindwa kula chakula

Ulikuwa wapi mbona umechelewa

Mbona umechelewa mbona umechelewa

Mbona umechelewa mbona umechelewa

Nilipelekwa puta sikubembelezwa kupewa hadhi

Nikala vya mafuta wakati mi hadhi yangu ya nazi

Kumbe hata kitandani nilipaswa kupandishwa

Hata kula mwiko yaani mi nilipaswa kulishwa

Kwa urefu wa mkono gani mgongo kujisugulisha

Mengine mapya ya chumbani oya we umenifundisha

Mbona Mbona umechelewa Mbona umechelewa

Kijiti eeeh kijiti ooh kijiti
You might also like
Holy Ghost
Omah Lay
On Purpose
Ni/Co (USA)
​née-nah
21 Savage, Travis Scott & Metro Boomin
Kakishikashika kimemchoma kijiti kimemtoboa

Kijiti eeeh kijiti Kakishikashika kimemchoma kijiti

Kama midomo chongeo kachongeni penseli

Mambo ya kwenye video si tunayafanya kweli

Kijiti eeeh kijiti

Kakishikashika kimemchoma kijiti

Unataka embe dodo ya nini urushe kote

Tingisha mti kidogo chini utaziokota eeeh

Kijiti eeeh kijiti

Kakishikashika kimemchoma kijiti

Wa mdondo wa mdondo huyo kuku wa madoa

Kamaliza mikorogo ngozi kujikoboa

Kijiti eeeh kijiti
Kakishikashika kimemchoma kijiti

Uuuh mwafulani mwisho wako barazani

Mwafulani ushoga wa zamani kuyajua ya chumbani

Kijiti eeeh kijiti

Kakishikashika kimemchoma kijiti

Odo Odo wangu oooh Odo

Nikidondoka unibebe Odo Odoo Odo

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…