[Lyrics] Nandy – Mchumba Lyrics

Kaniweza mimi mi kwake muoga kunguru nifanyeje ajue
Ntakufa mimi baby roho yangu inusuru nifanyeje ujue
Nikuhonge au Aaah nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah
Nikuhonge au Aaah nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah
Mchumba unataka nini mchumba (Aiyeke iye)
Roho unataka nini (Aiyeke Iye)
Mchumba unataka nini mchumba (Aiyeke iye)
Roho unataka nini roho (Aiyeke Iye)
Kidege kinaondokaaa
Kidege kinaondokaaa
Aiya yayaa kinaondokaaa
Aiya yayaaa kinaondokaa
Kshi kshu kshi shi shi
Kshi kshu kshi shi shi
Kshi kshu kshi shi shi
Kshi kshu kshi shi shi
Mwenzenu nampenda nampenda sana akiniacha mnizike mje mnizike
Ajue mapema mapema sana akiniacha mnizike
Nikuhonge au Aaah nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah
Nikuhonge au Aaah nikuposti au nikupe mmmmh au Aaaah
Mchumba unataka nini mchumba(Aiyeke iye)
Roho unataka nini roho (Aiyeke Iye)
Mchumba unataka nini mchumba(Aiyeke iye)
Roho unataka nini roho (Aiyeke Iye)
Kidege kinaondokaaa
Kidege kinaondokaaa
Aiya yayaa kinaondokaaa
Aiya yayaaa kinaondokaa
Kshi kshu kshi shi shi
Kshi kshu kshi shi shi
Kshi kshu kshi shi shi
Kshi kshu kshi shi shi
Kidege kinaondokaaa
Kidege kinaondokaaa
Aiya yayaa kinaondokaaa
Aiya yayaaa kinaondokaa

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…