[Lyrics] Navy Kenzo – Bampa 2 Bampa ft. Nandy Lyrics

Bampa 2 Bampa Lyrics by NAVY KENZO

Upendo usitie vigingi
Kitandani mwendo wa bakora
Kichwani ibaki vumbi
Meno kusaga mkongora

Navyoliseti loketi
Latema sumu ka dondora
Maji kulowesha nyeti
Kifo cha mende kuchochora

Marafiki wa shuka
Ni kitanda na godoro
Ofisi yake mifupa
Sio supu ya kongoro

Au kisa ufundi maujuzi
Ndio unifanye vibaya
Nivike sura ya mbuzi
Nikufichie mabaya

We are bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Go down mie bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Eeh nimekuwa chizi
(Eeh nimekuwa chizi)
Majinuno kilaza na sijiwezi
(Mi kilaza na sijiwezi)

Majuto ni mjukuu
Naridhika na wewe tu
Kukuacha sidhubutu
Usiniache weee

Tujinafasi kibamba taa (Uwiii uwii)
Nitakuja kujuta ukinikataa (Uwiii uwii)
Tujinafasi kibamba taa (Uwiii uwii)
Nitakuja kujuta ukinikataa (Uwiii uwii)

We are bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Go down mie bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Bampa bampa
The man is a hunter
Nampa nampa
Chochote anataka

Nipe tepe tepe mi nilowe
Kisu chako nikinowe
Umenishika kwenye roho wee
Eeey…

Marafiki wa shuka
Ni kitanda na godoro
Ofisi yake mifupa
Sio supu ya kongoro

Au kisa ufundi maujuzi
Ndio unifanye vibaya
Nivike sura ya mbuzi
Nikufichie mabaya

We are bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Go down mie bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Tujinafasi kibamba taa
Nitakuja kujuta ukinikataa
Tujinafasi kibamba taa

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…