[Lyrics] Ommy Dimpoz – Hasara Roho (ft. Marioo & Musa Keya) Lyrics

Lyrics
Ukivaaje unapendeza? Gucci ma Dior ama leather
Ukila nini una enjoy? Kuku, barger ama pizza
Gari gani unaendesha? Range, Benz ama Beamer
Kila kitu kwetu sikukuu shusha vyombo juu ya meza
Wee Hasara roho
Pesa makaratasi
Wee Hasara roho
Pesa makaratasi
Wee Hasara roho
Pesa makaratasi
Kula bata mpaka kuku zione wivu
Eeeh zione wivu
Kula bar jipoze na maumivu
Eh na maumivu
Tumia pesa hasa acha uvivu
Aah acha uvivu
Kula bar jipoze na maumivu
Eh na maumivu
Natumia mpaka bilioni nikiona ma bebebe
Mabebebe eh
Omary kichwa kasimama dedede
Dede eeh
Naweka bondi mpaka nyumba nikiona mabebebe
Mabebebe ehh
Omary kichwa kasimama dedede
Dedede
Wee Hasara roho
Pesa makaratasi
Wee Hasara roho
Pesa makaratasi
Wee Hasara roho
Pesa makaratasi
Ukivaaje unapendeza? Gucci ma dior ma leather
Ukila nini una enjoy? Kuku, barger ama pizza
Gari gani unaendesha? Range, Benz ama Beamer
Kila kitu kwetu sikukuu shusha vyombo juu ya meza
Wee Hasara roho
Pesa makaratasi
Wee Hasara roho
Pesa makaratasi
Wee Hasara roho
Pesa makaratasi

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…