(verse 1)
Ujumbe nimeusoma
Na salamu nimezipokea
Nami mzima wa afya nashukuru
Ila hali bado ngumu
Lakini bado sija kata tamaa
Kwenye juhudi na ndoto zangu
Ulio dai kuwa ndogo
Nimekubali matokeo
Na naelewa sababu zako za kuniacha
Kwa hilo sita kuhukumu
Kinachoniuma
Kutoka na rafiki wangu wa dhati
Kunidharau na kunidhihaki wewe
Kinachoniuma
Hivi mmenicheati mara ngapi
Mbele ya macho yangu bila kujua
(chorus)
Malii malipo
Ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia
Malii malipo
Ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia
You might also like
Single Again
Harmonize
bread & butter
Gunna
My Wish
Rascal Flatts
(verse 2)
Umasikia wangu unaniponzaa
Hewalah!
Oh ooh
Na ukitaka kujua jinsi gani nakuchukia
Nimesahau jina lako…
Sikumbuki Mie !
Oh ooh
Na ukitaka kujua jinsi gani nakuchukia
Nisha sahau ata sura yako
Jaraha ulinioachia mi sidhani Ka nitapenda tena
Umenivuruga mama , umenivuruga
Jaraha ulinioachia mi sidhani Ka nitapenda tena
Umenivuruga
Kinacho niuma kutoka rafiki wangu wa dhati
Kunidharau na kunidhihaki we!
Oh ooh
Kinachoniuma
Hivi mmeni cheati mara ngapi
Mbele ya macho yangu bila kujua
(chorus)
Malii malipo
Ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia
Malii malipo
Ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia