Doh salaleh nimeachwa
Doh Doh nimepigwa kibuti
Mmmh eti kisa jana
Nimelala na nguo
Anataka mapenzi
Kwa mkupuo
Anasema sijui kuhandle
Nikajifunze chuo
Mmmh nimeachwa
Anantesa nampenda japo
Rangi yake ka jaluo
Asubuhi mchana usiku mizagamuo
Mi siwezi nimeachwa
Natamani nilewe
Ila sa nikilewa
Pombe nazo zinashuka chini
Nami sina wa ubani
Nitafanya nini
Yalah weeh
Doh salaleh nimeachwa
Doh Doh nimepigwa kibuti
Doh salaleh nimeachwa
Doh Doh nimepigwa kibuti
Hayana urafiki mapenzi
Oooh mapenzi
Hayana ushikaji mapenzi
Oooh mapenzi
Magodoro yamelowana
Hayana afadhali mapenzi
Oooh mapenzi
Huku owangu sio shwari mapenzi
Ooooh mapenzi
Magodoro yamelowana
Ndani hapalaliki
Natamani nilewe
Ila sa nikilewa
Pombe nazo zinashuka chini
Nami sina wa ubani
Nitafanya nini
Yalah weeh
Doh salaleh nimeachika mwenzenu
Nimeachwa Oooh
Doh Doh Doh nimepigwa kibuti
Doh salaleh nimeachwa mimi
Nimeachwa nimeachika mwenzenu
Doh Doh Doh nimepigwa kibuti
Doh salaleh