[Lyrics] Rayvanny – Habibi Lyrics

Mmmh mashallah
Mama mkwe shikamoo, huyu mtoto umetotoa ni balaa
Tumbo si la kwashakoo, shepu linatukomoa nyie
Mwenzenu huku kumbe ninapendwa, afu hamsemi
Nyie, mapenzi yanapamba moto, amkeni amkeni
Nahisi udongo wako Mungu alichanganya viwili
Misheni na maziwa kwa mbali, pilipili
Udaku damu wa Makka uzidi kunawiri, sura yako
Kichwani hakusita kumiminia akili
Moyo wa upendo na wenye kusubiri
Shepu kwa hasira kajaza mara mbili, zawadi yako
Aah kupendwa raha mkipendana, hakuna karaha
Aaah, napewa raha karibu jeraha
Aah
Habibi, habibi
Habibi, habibi
Habibi, habibi I love you, I want you
Habibi, habibi
Habibi, habibi
Habibi, habibi I love you, I want you
Aahh mmmh
Mahaba, yananimwagikia
Nimekabwa, hataki niachia
Na, kwake nadekezwa nadeka
Kina fulani wanakereketwa
Namuomba Muumba akulinde malikia
Naomba nisikukose kwa dunia
Wakikugusa ni mapanga Tarime
Ya tisa ya mie mama Dorime
Wasokupenda waende wakalime
Aah kupendwa raha mkipendana, hakuna karaha
Aaah, napewa raha karibu jeraha
Aah
Habibi, habibi
Habibi, habibi
Habibi, habibi I love you, I want you
Habibi, habibi
Habibi, habibi
Habibi, habibi I love you, I want you

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…