[Lyrics] Whozu – Ameyatimba (ft. Billnass) Lyrics

Alitaka kunichukulia poa

Kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town

Mara oooh nakupenda ntakuoa

Ushaniona boya kutwa kunipiga sound

Alitaka kunichukulia poa

Kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town

Mara oooh nakupenda ntakuoa

Ushaniona boya kutwa kunipiga sound

Paparaparira parira pa parira

Perepeperire pepe rire pepe

Ameyatimba Aaaaaaaaah

Ameyatimba Oooooooh

Ameyatimba Aaaaaaaaah

Ameyatimba Oooooooh

Mtoto kavamia pombe kakutana na gang

Kadhania Konde (Konde)

Mtoto kadandia tonge yupo danger days

Mi napambania kombe (Kombe)

Mtoto fakamia yote anavyochochea

Moto tukalipuke wote

Mtoto kaniambia chonde

Kakutana na bei nachapa miguu yote

Alitaka kunichukulia poa

Kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town

Mara oooh nakupenda ntakuoa

Ushaniona boya kutwa kunipiga sound

Alitaka kunichukulia poa

Kumbe mi mwenyewe ni mtoto wa town

Mara oooh nakupenda ntakuoa

Ushaniona boya kutwa kunipiga sound

Paparaparira parira pa parira

Perepeperire pepe rire pepe

Ameyatimba Aaaaaaaaah

Ameyatimba Oooooooh

Ameyatimba Aaaaaaaaah

Ameyatimba Oooooooh

Kweli naapa najuta kuwa na yeye

Tatizo muongo muongo

Ukimwona ka so yeye

Kajichanganya ameyataka mwenyewe

Tatizo muongo muongo

Ukimwona ka so yeye

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…