[Lyrics] Zuchu Ft. Mbosso – Ashura Lyrics

Lyrics
Aaaanh Aanh Naah A-a-a-h
Marhaba Marhaba Habibi
Tunda Komamanga la kupachua o-o-o oh
Mahaba Mahaba yanzidi
Kindimu changa chakuchachua m-m-m-mnh
Tamu zaituni tunda la Peponi nalila (nalila)
Gamu ya sakafuni tunadundishana kipira
(kipira)
Napewa penzi sabuni linalontakasa madhira
Huniita hunnie haiyuni mkali wa tatu bila
(bila) upepo wa Pwani umenipeleka bara
Niongoze usukani kwenye penzi barabara
Wakati wako tamba ashua eenh
Ashua shuuu ashua
Ok baby jishongondoe ashua eenh
Ashua shuu (eenh) Ashua na roho zao ziwaume
Ashua ashua shuu
Ashuaa lolololoooh
Ashua ashua shuu (eenh)
Ashua (eenh) tuwachome mapakashume
O-o-o ohooooh ooooh
Kweli mambo mazuri hayataki haraka ooh
Haraka oohooh mmmnnh
Kwa dua nimesubiri nimepewa nilichotaka ooh
Nilichotaka oohooh mmmnh
Penzi ninalinogesha (noga)
Nampa mchicha ale (noga)
Vinono vya kunenepesha (noga)
Sambusa ya nyama tele (noga)
Kisha namchangamsha (noga)
Namchezea segere (noga)
Mwali kujinengemusha (noga)
Huku napiga kelele aanh aanh anh
Upepo wa Pwani umenipeleka bara
Wewe wangu usukani kwenye Penzi barabara
Wakati wako tamba ashua iiiiih
Ashua shuu ashuaa
Ok baby jishongondoe ashua eenh
Ashua shuu (eenh) ashuaa
Na roho zao ziwaume roho zao ziwaumeee
Lolololoooh ashua eenh
Ashua shuu wakikuuliza mbona huonekani
Tunacheza solo na zumari ndani
Eenh kuingiza kete shimoni
Tunacheza Solo na Zumari ndani
Na kwa malovie dovie
Tunacheza solo na zumari ndani
Michezo ya karata kulambishwa mavi
Tunacheza solo na zumari ndani

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…