Lyrics
Mocco
A tout compris
Mocco
Naamka asubuhi, sina hata buku sh’ndala
Chakukila sijui, bora hata pakulala
Chumbani matandabui, mende wamefanya utawala
Na mjomba panya haelewi, riziki yake hasara
Eeh!
Kwacha kwacha, Nakwenda nakwenda
Sijakubali kudoda, hii ngoma haisambii
Na ndoto za aliniacha, sijapenda sijapenda
Aliekupa kigoda, mi’ atanipa kumbi
Eh!
Nipate ntoke patupu (Kawaida hiyo)
Siku nzima niambulie buku (Ndo yakwangu sijaiba hiyo!)
Usiniulize naishije mjini? (napambana)
Niokote machupa niuze siso (napambana)
Hata nkidanga jamani niacheni (napambana)
Niwe kondakta ubungo migomigo (napambana)
Aaa!
Eeh!
Iiih (napambana)
Aaa!
Eeh!
Ooh (napambana)
Mama mkubwa le mukuu, Khadija Kopa
Boss de la boss, Mama Dangote
Majiamdimu majiamdimu (saga saga saga saga)
Eh!
Eh mungu wangu baba baba baba
Ziitikie dua zetu waja
Tupate magari sita nane saba
Tuvae Gucci, Fendi, na mi-Prada
Wewe, acha kumbwela
Mungu habagui anawapa hadi ngedere
Wewe (wewe) hela
(Tafuta hela) mchawi helaa
Wanaokudharau watakuheshimu mbele (Wanaokudharau watakuheshimu mbele
Eh!
Nipate ntoke patupu (Kawaida hiyo)
Eti siku nzima niambulie buku (Ndo yakwangu sijaiba hiyo!)
Usiniulize naishije mjini? (napambana)
Niokote machupa niuze siso (napambana)
Hata nkidanga jamani niacheni (napambana)
Niwe kondakta ubungo migomigo (napambana)
Aaa!
Eeh!
Iiih (napambana)
Aaa!
Eeh!
Ooh (napambana)
Mikono juu, Mikono juu, Mikono juu
Wapambanaji Mikono juu, Mikono juu, Mikono juu
Asa usimcheke aloshindia chungwa (alie kula kalaa)
We wa biriani shibe ileile (alie kula kalaa)
Maharagwe robo ugali kilo kumi (alie kula kalaa)
Eti kula piza baga shibe ileile(alie kula kalaa)
Mama alie kula kala (alie kula kalaa)
Aah, Alie kula kalaa ah (alie kula kalaa)
Kamix Lizer
Designed by Admalic Inc. BMB © 2024.