[Lyrics] Alikiba – Aló Lyrics

[Intro]
Yo!
(Mocco)

[Verse 1]
It’s your love, ‘that turns me on
Mashallah, uko so natural
Wewe nami, uwe pacha nami
Inadunda roho
Nikifikiria kuachwa, nguvu sina
Napona, ‘si malaria si corona
Sijui kwanini nikikuona hata magonjwa yanagoma kuja tena
Napona, ‘nikihisi na homa
Nikikuona hata maradhi yanagoma kuja, ah

[Pre-Chorus]
Mi sioni, sio kwamba sina macho bali nakuona wewe
Sikio, sio kwamba sisikii ‘nasikia
Moyo ungekuwa na kioo, usione mwenyewe
Mwenzio, nakuwaza nikilala, nikisinzia

[Chorus]
Aló
Nakuita my love
Aló
Nakuita my love
Aló
Nakuita my love
Aló
Nakuita my love
You might also like
​should’ve wore a bonnet
21 Savage & Brent Faiyaz
Silent Night
Christmas Songs
Entrapreneur
Central Cee
(Saxophone Instrumentals)

[Verse 2]
Love is in the air
We do it everywhere
When I look into your eyes, ‘najiona mimi
Uh, wakituona wanadata
Tena wanataka
Kinoma, kinoma
Penzi limetakata, tumejipata
Si mnaona, si mnaona

[Pre-Chorus]
Mi sioni, sio kwamba sina macho bali nakuona wewe
Sikio, sio kwamba sisikii ‘nasikia
Moyo ungekuwa na kioo, usione mwenyewe
Mwenzio, nakuwaza nikilala, nikisinzia

[Chorus]
Aló
Nakuita my love
Aló
Nakuita my love
Aló
Nakuita my love
Aló
Nakuita my love
(Saxophone Instrumentals)

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…