[Lyrics] Nandy – Naburudika Ft. Nviiri The Storyteller Lyrics

Marashi ya karafuu yamenimwagikia kichwani, nimesheheni harufu ya uwaridi ashumini

Na sielewi, umenichanganya changanya umenipiga nusu kaputi ya mapenzi

Na sielewi, ipi karoti ipi nyanya kwani ipi ndala na lipi buti nimepatwa uchizi

Unanikimbiza kama Duma (Duma), nishasahau ya nyuma (nyuma)

Aaaah baby unavyojituma (Tuma) Mi niko hoi

Ona ninavyoguna (guna) kwani nani amenuna (nuna)

Yani unavyonibana mi sikohoi

CHORUS

Kweli mapenzi ni burudani, naburudika naburudika, burudani naburudika mieee

Jama mapenzi ni burudani, naburudika naburudika burudani naburudika mieee

VERSE 2

Maisha nywee mambo shwari, maisha yetu kila siku party

Sema ngweee nidunge kaki kitenge nayo iwe shati

Take my name itangazwe BBC, vile umeangukia BBC

Hapa kila siku joto haizimiki moto

Naona rahaaaa, kikombe changu umejazaa

Naona far kichwani kila nnapo kuwaza

Nakuja Dar tuma location nitafwata

hivi ndivyo inafaa Ooooh no

CHORUS

Kweli mapenzi ni burudani, naburudika naburudika, burudani naburudika mieee

Jama mapenzi ni burudani, naburudika naburudika burudani naburudika mieee

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…