[Lyrics] Diamond Platnumz – Mtasubiri Ft Zuchu Lyrics

Lyrics
Eeh! Nini sasa
Eti amina, dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima, mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh kiranga chote mi koma, ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari
Eti unanipenda mi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Mnaosubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubi
(Ooh mtangoja)
Mtasubiri sana mtasubi
(Wanaosubiri tuachane)
Mtasubiri sana mtasubi
(Vuteni kiti mkae)
Mtasubiri sana mtasubi
Ooh baby mi mwenzako njiwa wa kufugwa
Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nimeshaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Mbona bado na presha zitawashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba
Eti unanipenda mi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Nakuniridhia (Mnmhn)
Ooh unanipenda mimi (Mnmhn)
Unanitaka pia (Mnmhn)
Unaniamini (Mnmhn)
Na umeniridhia
Manaosubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubi
(Ooh mtakesha)
Mtasubiri sana mtasubi
(Mtandike jamvi mukae)
Mtasubiri sana mtasubi
(Mtatungoja sana)
Mtasubiri sana mtasubi
Wanasema eti Umeniroga
“Nikweli ila inawahusu nini”
Hunipendi Unanichuna
“Nikweli ila inawahusu nini”
Eti anasema wewe ni kicheche
“Nikweli ila inawahusu nini”
Utanichezea kesho uniache
“Nikweli ila inawahusu nini”

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…