[Lyrics] Rayvanny – Yaya Ft. Diamond Platnumz & Jux Lyrics

Chui

We zombie haujui

Bad man

Hama simba kama simba Dangote

Eeeh

Najua namadeni namatatizo ya kodi

Hila pesa ya pombe na shisha sikosi

Najua navipengelee watu wanapiga horn

Aah

Ila kuhonga mademu wazuri sichoki

Yeeeeeh

Kama umemchoka tuachie sisi

Nasemaje!

Tumle mpaka mifupi sisi ndo mafisi

Kama umemchoka tuachie sisi

Tumle mpaka mifupa sis ndo mafisi

Sawa nimeachikaa ila naburudika

Aah

Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika

Nimeachika naburudika

Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika

I am a disco dancer

I am a disco dancer

I am a disco dancer

I am a disco dancer

Yaya yaya yaya yayayh

We zombie

Ongeza tena zikiisha

Mwaga tano tano zidisha zidisha

Babe akijipitisha pitisha

Usiku mboga naichumbisha chumbisha

Eeeh

Wanajiita wamjini kati bebe zao tunazila chin chin chin

Eeh

Wabishoo ring ring

Kazi kulamba lips kitandani no ring

Ambie si mbwa wala paka

Wajifunze kuzungumza kwa mipaka

Demu wake kakufosi washa number

Shobo zake mwenyewe kalitaka

Weweeeh

Kama umemchoka tuachie sisi

Nasemaje

Tumle mpaka mifupa sisi ndo mafisi

Kama umemchuka tyachuie sisi

Tumle mpaka mifupa sisi ndo mafisi

Sawa nimeachika ila na burudikaaa

Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumikaaa

Nimeachika naburudika

Sipangiwi na paka yoyote pombe zianmwagika

Weweeeh

I am a disco dancer

I am a disco dancer

I am a disco dancer

I am a disco dancer

Yaya yaya yayaaa yaya yaya yayaaa

Bad man

Wakule ndani wananyonga wida

Ukitaka pasi pasi njoo barida

Ashura ,Amina njoo Farida

Wambie mbwana zenu hatutaki shida

Kama umemchoka tuachie sisi

Nasemaje

Tumle mpaka mifupa sisi ndo mafisi

Weweeeh

Kama umemchoka tuachie sisi

Tumle mpaka mifupa sisi ndo mafisi

Sho me what you gat

Chiki nting ching nting chiki nting

Unachezaje

Chiki nting ching nting chiki nting

Sawa nimeachika ila naburudika

Eeh

Sipangiwi na mbwa yoyote pesa inatumika

Nimeachika naburudika

Eeh

Sipangiwi na paka yoyote pombe zinamwagika

Weweeeh

I am a disco dancer

i am a disco dancer

I am a disco dancer

I am a disco dancer

Yaya yaya yayah yaya yaya yayah

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…