[Lyrics] Harmonize – CCM Lyrics

Lyrics
Oooh ooh
Hii hapa sauti ya Konde Boy mjeshi
Konde Boy
Waambieni wapinzani wanajisumbua
CCM chama chetu tumekichagua
Waambieni wapinzani wanajisumbua
CCM chama chetu tumekichagua
Uongozi sio jambo rahisi
Unataka watu majasiri
Wamekazania ubishi
Kazi kupinga vilivyo nadhiri
Kazi zote za Magufuli eti hawazioni
Elimu na barabara nzuri nazo hawazioni
Utekelezaji wa CCM eti hawauoni
Umeme maji kila sehemu flying over hawazioni
Ndege zilivyojazana nazo hawazioni
Ajira kwa vijana nazo hawazioni
Eeh Magufuli tembo, tembo wa CCM
Dr. Ali Shein tembo, tembo wa CCM
Philip Mangula tembo, tembo wa CCM
Mama Samia tembo, tembo wa CCM
Kaka Kassimu Majaliwa tembo, tembo wa CCM
Bashiru Ally tembo, tembo wa CCM
We Polepole tembo, tembo wa CCM
Konde Boy tembo, tembo wa CCM
Twende piga makofi, piga makofi
CCM piga makofi, piga makofi
Twende vidaleki, vidaleki
Zungusha vidaleki, vidaleki
Waambieni wapinzani wanajisumbua
CCM chama chetu tumekichagua
Waambieni wapinzani wanajisumbua
CCM chama chetu tumekichagua
Nauliza nani nani, nani unamtaka tena
Mapembe yote ya CCM yapite tena
Eti nani nani, nani apite tena?
Mapembe yote ya CCM yapite tena
Nani nani, nani utamtaka tena?
Mapembe yote ya CCM yapite tena
Eeh nani nani, nani apite tena?
Mapembe yote ya CCM yapite tena
Magufuli, apite wa CCM
Mama Samia, apite wa CCM
Majaliwa, apite wa CCM
Wabunge wote, wapite wa CCM
Madiwani wote, wapite wa CCM
Wenye viti wote, wapite wa CCM
Waambieni wapinzani wanajisumbua
CCM chama chetu tumekichagua
Waambieni wapinzani wanajisumbua
CCM chama chetu tumekichagua
Magufuli amesimamia haki
Anakesha tena halali
Kuna wengine hawataki
Usiwalazimishe kukubali
Uchumi unavyopanda, eti hawauoni
Tanzania ya viwanda, nayo hawaioni
Ubungo daraja la kupanda foleni hauling
Kile kivuko cha Mwanza umeongeza Pantoni
Eeh Magufuli tembo, tembo wa CCM
Dr. Ali Shein tembo, tembo wa CCM
Philip Mangula tembo, tembo wa CCM
Mama Samia tembo, tembo wa CCM
Kaka Kassimu Majaliwa tembo, tembo wa CCM
Mashuruali tembo, tembo wa CCM
We Polepole tembo, tembo wa CCM
Konde Boy tembo, tembo wa CCM
Twende piga makofi, piga makofi
CCM piga makofi, piga makofi
Konde Gang wote tembo

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2023.

I need help with…