[Lyrics] Harmonize ft. Q Chilla – My Boo (Remix) Lyrics

Aah tunaanza upya sasa
Hahaha, just beginning
Chilli, Konde Boy
Yaani Chilla na Konde Boy

Aaah,
Mola anakupa astahili
Hakupi unachotaka
Ndio maana nimetulia
Nakukabidhi mtima

Naridhi kifungu mbili
Kukosa nakupata
We unanivumilia
Ata nikiwa sina

Mi najua wapo
Walosema hunifai
Eti hatuendani
Wanajichosha na kujipa taabu

Oooh wapo walosema
Umetoka na maasai
Tena hadharani wakapotosha
Umedu na mwarabu

Ila mi ndo nishapenda, nishapenda
Sioni sisikii
Siku zinakwenda, zinakwenda
Sing’oki kisiki

Oooh nishapenda, nishapenda
Sioni sisikii
Siku zinakwenda, zinakwenda
Aki sing’oki kisiki, msijipe taabu

My boo, my boo, my boo
Oooh lala lalala my boo
My boo, my boo, my boo
Oooh lala lala my boo

Hawapendi kuniona na wewe
Eti nimekaa nimechill na wewe
Wanatamani niwe nimekwisha
Ooh lalalala wakuchukue kabisa(Eeeh)

(Hahaha, Love is sweet oh)

Ah! Nyie mafundi wa kuchamba
Mnafanya kazi ya kanisa
Ridhiki haivutwi kwa kamba
Na wa kumi hapatagi tisa

Mwenzenu fundi wa kulamba
Tena anameza kabisa
Sio kama najigamba
Ila mbali ninamfikisha eeh

Ndio maana
Ananiganda ganda kama pochi
Ananiganda(Ndio maana)
Nampanda panda kama kochi
Nampanda

Mi najua wapo
Walosema we hunifai
Eti hatuendani
Wanajichosha na kujipa taabu

Oooh wapo walosema
Umetoka na maasai
Tena hadharani wakapotosha
Umedu na mwarabu

Ila mi ndo nishapenda, nishapenda
Sioni sisikii
Siku zinakwenda, zinakwenda
Sing’oki kisiki

Oooh nishapenda, nishapenda
Sioni sisikii
Siku zinakwenda, zinakwenda
Aki sing’oki kisiki, msijipe taabu

My boo, my boo, my boo
Oooh lala lalala my boo
My boo, my boo, my boo
Oooh lala lala my boo

Hawapendi kuniona na wewe
Eti nimekaa nimechill na wewe
Wanatamani niwe nimekwisha
Ooh lalalala wakuchukue kabisa(Eeeh)

Zuzuzu, zunguka waone
Zuzuzu, zunguka waone
Yii, asa zungusha body
Zuzuzu, zunguka waone

Kwani unadaiwa kodi?
Zuzuzu, zunguka waone
Oooh lele, Konde Boy

Ananiganda ganda kama pochi
Ananiganda(Ndio maana)
Nampanda panda kama kochi
Nampanda

Ooh my God its Spencer

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…