[Lyrics] Jay Melody – Na Iwe Kheri Lyrics

Unafundisha mapenzi kumkumbuka mwenyezi

Mi mwenzio hadhimu kwenye miezi

Na pia tumeenzi mazuri yako mengi

Siwezi kuyahesabu kwenye dunia 

Yaarabi karima nipe afya uzima 

Nifunge mwezi mzima majaribu niyahepuke 

Nitaje lako jina nikisimama wima 

Niombe usiku mzima 

Mpaka asubuhi pakuche 

Na iwe heri (na iwe kheri) 

Ramadhan (ramadhan) 

Na iwe heri (na iwe kheri) 

Ramadhan (ramadhan kareem)

Na iwe heri (na iwe kheri) 

Ramadhan (ramadhan) 

Na iwe heri (na iwe kheri) 

Ramadhan (ramadhan karem) 

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…