Najua kunielewa itakua ngumu mmh
Ila sikupanga nikukosee
Mbaya zaidi unanihukumu mmh
Ungenipa nafasi nikueleze
Najua nina makosa kwasababu mm binadam
Vitu vyako vinanitazama kama vile masanamu
Kwamba ata shika yako simu nipate japo salamu
Kabla jua kuzama mama naomba ata tabasamu
Kabla tu hujapanda kwa kitanda
Tuelewana mama
Kabla tu hujapanda kwa kitanda
Tupatane
Kabla tu hujapanda kwa kitanda
Tuelewane
Kabla tu hujapanda kwa kitanda
Tupatane
Tupatane (tupatane mama)
Tuelewane (tuelewane)
Baby tupatane ( tupatane mama)
Tuelewane (tuelewane)
Tofauti ya kwamba nakupenda
Nitaweka wapi sura yangu
Mana dunia nishaiambiaga we wa mwisho kwangu
Si waajua kwamba nimezoea
Ninapolala uwege kando yangu
Nishaanza dunia kuiona ya uchunguu
Punguza hasira tusipate hasara
Shusha silaha tuzungumze
Najua nina makosa kwasababu mimi binadam
Vitu vyako vinanitazama kama vile masanamu
Naomba shika ata yako simu nipate japo salamu
Kabla jua kuzama baby naomba ata tabasamu
Kabla tu hujapanda kwa kitanda
Tuelewana mama
Kabla tu hujapanda kwa kitanda
Tupatane
Kabla tu hujapanda kwa kitanda
Tuelewane
Kabla tu hujapanda kwa kitanda
Tupatane
Tupatane (tupatane mama)
Tuelewane (tuelewane)
Please baby don’t go
Naomba tuyamalize
Mama isifike ata usiku
You know I love you baby
Naomba tuongee taratibu
Husinifokee
Yote yaliotokea usitafsiri vibaya
Am sorry baby