Lyrics
Ilikuwa safari ndefu yenye mateso
Machozi mizigo vikwazo ila yote umenitua
Naomba penzi letu lisife kesho
Ukanipa pressure mawazo chonde mama utaniua
Na vile hujui kununa fundi wa kudeka
Hata sijakutekenya unacheka
O-o-o oh tambua ushaniteka
Hata bila chakula nanenepa, my love
Salama nikiwa na wewe
Hata kama nina shida nasahau
Sura kama malaika
Na wala hauringi kwa dharau
Lawama acha nipewe nitoke duniani angalau
Kuliko ukakanyanyasika ila mpenzi usisahau
Mi ooh oh, I, mi amor, I
My Love, I, te amor, I i love you I love you
Baby I love you, I love you
I love you (mi nakupenda sana)
I love you (usiniache mama)
Baby I love you (me oooh) i love you
Sura ya mama, umbo lawama unayabia maguu
Unanichanganya ukiinama naangalia tattoo
Nipakulie chakula mama sikomi
Asubuhi mchana mpaka jioni
Michezo unaijua mama msomi
Pini kitovu kifua na sikioni
Salama nikiwa na wewe
Hata kama nina shida nasahau
Sura kama malaika
Na wala hauringi kwa dharau
Lawama acha nipewe nitoke duniani angalau
Kuliko ukanyanyasika ila mpenzi asahau
Mi ooh oh, I, mi amor, I
My Love, I, te amor, I i love you I love you
Baby I love you, I love you
I love you (mi nakupenda sana)
I love you (usiniache mama) i love you
Designed by Admalic Inc. BMB © 2024.