[Lyrics] Jux – Mapepe Lyrics

Lyrics
S2kizy baby
Labda uliza moyo wangu
Ndo umenifanya mi nifike mapema
Mama uliza moyo wangu
Unavonitesa imenibidi kusema eeeh
Zamani
Toka zamani mama
Kuwa na ndoto siku moja ukae nyumbani
Usikatishe penzi ghafla ndo Kwanzaa penzi letu linago tu
Kama shida wote tumepata Sasa unachokitaka unakipa boo!
Usilikatishe penzi letu maana kwanza linago tu
Unachokitaka unakipata Sasa!
Aaaaaah mapepe ya nini?(Pepe)
Mapepe ya nini?(Pepe)
Mapepe ya nini?
Nishatulizana nawe punguza mapepe
Aaaaaah mapepe yanini?(Pepe)
Mapepe ya nini?(Pepe)
Mapepe ya nini?
Nishatulizana nawe punguza mapepe
…!!!
Mama serebu
Africa mama serebu
Mziki una matter shebeduka napenda ile vidole uking’ata macho juu
Mmmmh
Yako thamani ni zaidi ya dhahabu
Nafanya hisani usije pata tabu
Zamani
Toka zamani mama
Kuwa na ndoto siku moja ukae nyumbani
Usikatishe penzi ghafla ndo Kwanzaa penzi letu linago tu
Kama shida wote tumepata Sasa unachokitaka unakipa boo!
Usilikatishe penzi letu maana kwanza linago tu
Unachokitaka unakipata Sasa!
Aaaaaah mapepe ya nini?(Pepe)
Mapepe ya nini?(Pepe)
Mapepe ya nini?
Nishatulizana nawe punguza mapepe
Aaaaaah mapepe yanini?(Pepe)
Mapepe ya nini?(Pepe)
Mapepe ya nini?
Nishatulizana nawe punguza mapepe
Acha iendee
Acha iendee
Punguza mapepe

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…