[Lyrics] Jux – Unaniweza Lyrics

Lyrics
Pindi ukicheka we, Mi moyo unanitabasamu
Huwa mwenye kujihisi mororo
Ila ukilia wee, Hata kula nakosa hamu
Huwa mwenye kujihisi mdororo
Ukiwa karibu na mie, Najiona bora
Lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma
Uwepo wako we na mie, Umetia fora
We ndio dakitari, Darling, Nikitaka kupona
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Sitamani mwingine, Wala sidhani ka ataweza kutokea
Maana mambo yako moto moto, Moto
Labda upite ushetani mwingine, Maneno ya watu nishazoea i don’t care
Kila kukicha choko choko, Choko choko
Unavyonipa raha, Ndiyo nanepa mie
Penzi lako natinga, navimba nabembea
Kinachokufaaa, Usisite niambie
Kwako niko radhi hata zege nibebe, Machinga nidadishee
Ukiwa karibu na mie, Najiona bora
Lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma
Uwepo wako we na mie, Umetia fora
We ndio dakitari, Darling, Nikitaka kupona
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza, I do it for love
For love
Unaniweza weza
For love, I do it for love
Unaniweza weza

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…