[Lyrics] Lulu Diva – Andazi (ft. Rayvanny, Chino Kidd & Whozu) Lyrics

Eti eeeh nilikuwa nalia nini

Ooooh nilitesekaga na nini

Eeeh hivi aliniteka na nini

Ooooh alinisumbua na nini 

Ex na andazi nachagua andazi 

Ex na bia nachagua bia

Ex na andazi nachagua andazi 

Ex na bia nachagua bia

Toka we nenda we 

Niache we bye we 

Toka we nenda we 

Niache we bye we 

Toka we nenda we 

Niache we bye we 

Nakula upepo nimesahau mateso 

Ukimtaja ex napata kichefchef 

Niondolee mapepo 

Nakula upepo nimesahau mateso 

Ukimtaja ex napata kichefchef 

Niondolee mapepo 

Sikusikii ex nini unasema 

Hibi unaongea ama unabweka 

Staki tena stress 

Usirudi tena 

Sasa najiokotea mgodi umetema 

Daddy Daddy kanipa zawadi 

Kannulia gari kanipa na kadi 

Daddy Daddy kanipa zawadi 

Kannulia gari kanipa na kadi 

Ex na andazi nachagua andazi 

Ex na bia nachagua bia

Ex na andazi nachagua andazi 

Ex na bia nachagua bia

Toka we nenda we 

Niache we bye we 

Toka we nenda we 

Niache we bye we 

Toka we nenda we 

Niache we bye we 

Eti eeeh nilikuwa nalia nini 

Ooooh nilitesekaga na nini 

Eeeh hivi aliniteka na nini 

Ooooh alinisumbua na nini 

Mbwa yule 

Ex na andazi nachagua andazi 

Ex na bia nachagua bia

Ex na andazi nachagua andazi 

Ex na bia nachagua bia

Toka we nenda we 

Niache we bye we 

Toka we nenda we 

Niache we bye we 

Toka we nenda we 

Niache we bye we 

Habari yako usitume tena 

Watu wako 

Hiyo bloku ya watsapu 

Kama hujui hiyo 

Ndo talaka yako 

Chino Wanna Man 

Habari yako usitume tena 

Watu wako 

Hiyo bloku ya watsapu 

Kama hujui hiyo 

Ndo talaka yako 

Ushanivuruga vuruga kichwa 

Nikikunyima pesa basi ndani vita 

Aaaah Aaaah 

Bila giza hata kurudi tena 

Nafsi inasita 

Ex na andazi nachagua andazi 

Ex na bia nachagua bia

Ex na andazi nachagua andazi 

Ex na bia nachagua bia

Toka we nenda we 

Niache we bye we 

Toka we nenda we 

Niache we bye we 

Toka we nenda we 

Niache we bye we 

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…