VERSE 1
Mwenzake nimeteleza kunihukumu ananionea
Mwenzake nimeteleza ananihukumu ananionea
Aaaah nimemzoea na siwezi kuishi bila yeye
Aaah ye ndo nampenda mama nakufa
CHORUS
Basi mwambieni anisamehee mwenzake anisamehe
Mwambieni anisamehee mwenzake anisamehe
Anisamehe anisamehe Anisamehe anisamehe anisamehe
VERSE 2
Ana sura nzuri na tabasamu kununa hapendezi
Na makosa yetu wanadamu peke yangu siwezi
Nalewa nakesha mimi aniokoe kabla sijawa malaya
Nalewa nakesha mimi aniokoe kabla sijawa malaya
CHORUS
Basi mwambieni anisamehee mwenzake anisamehe
Mwambieni anisamehee mwenzake anisamehe
Anisamehe anisamehe anisamehe anisamehe
OUTRO
Nenda kamwambie baby mi nataka tena alichonipaga
Nenda kamwambie baby anikune tena anapokunaga
Nenda kamwambie baby mi nataka tena alichonipaga
Nenda kamwambie baby anikune tena anapokunaga