[Lyrics] Marioo – Love Song Ft. Alikiba Lyrics

Love Song Lyrics by MARIOO

Nipende sana mi nataka wale
Walo sema kwamba utania utaniacha wanune
Tu pendane yani mpaka wale
Wanao subiri tuachane wachunde
Acha wakae vikao wamalize waganga
Yana washinda yakwao waone kama waganga
Hao hao
Hatuli hatulali kwao unawa ponza uganga
Huoni hata sura zao mbaya
Wana nitaka mi siwataki nakutaka wewe tu
Waki nifata na kimbia nakufata wewe tu
Asa uki taka mi nilie amua wewe tu
Ama nitoke hadharani niseme

I love you
I love you
I love you
I love you

Ndagukunda
Je t’aime
Te amor
Te quiero
Jeg elsker deg
Honey, ich liebe dich nakupenda
Kila siku nikikuona nakuona
Kila siku nikikuona nakuona
We mzuri wewe
Kila mara yako wewe naona tamu, tamu
Hapa bado namuomba mungu wamwisho uwe ni wewe
Wanao nitaka siwataki mi nakutaka wewe tu
Waki nifata na kimbia mbio nakutaka wewe tu
Hata uki taka mi nilie uta amua wewe tu
Hata ukitaka nitoke hadharani nitangaze yakwamba

I love you
I love you
I love you
I love you

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2023.

I need help with…