Lyrics
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Mara akivaa ozi mwamba hana matatizo mwamba
Tajiri hana baya mwamba yaani amenyooka mwamba
Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo
Mungu kanipa yeye anayenifaa
Wambea najua inawachoma mukaroge Tanga Bagamoyo
Mungu Kapanga yeye hauwezi kukataa
Namkumbatia hamnifanyi chochote
Tena namshika namchumu hamsemi chochote
Nambeba pia hamnifanyi chochote huyu wangu
Natamba simwogopi yeyote
Mama Amina Bele Amina Belebele
Mama Amina Bele Amina Belebele
Mwache apite mbele apite mbele mbele
Mwache apite mbele apite mbele mbele
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Hana kipele mwamba sio baili mwamba
Tena hajarogwa mwamba tajiri amenoga mwamba
Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo
Mungu kanipa yeye anayenifaa
Wambea najua inawachoma mukaroge Tanga Bagamoyo
Mungu Kapanga yeye hauwezi kukataa
Namkumbatia hamnifanyi chochote
Tena namshika namchumu hamsemi chochote
Nambeba pia hamnifanyi chochote
Huyu wangu natamba simwogopi yeyote
Mama Amina Bele Amina Belebele
Mama Amina Bele Amina Belebele
Mwache apite mbele apite mbele mbele
Mwache apite mbele apite mbele mbele
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Namleta shemeji yenu mumuone
Namleta shemeji yenu mumuone
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
Designed by Admalic Inc. BMB © 2024.