VERSE 1
Hivi nachezea rhumba ama bolingo nangai maana nina kiwembe kwenye vita ya masai
Wanitesa mchumba nimependa sishangai penzi kitovu uzembe mi nalia we furahi
Ila musiende nyumbani za wageni walete nyumbani kwangu
Chunga taratibu na chaga msije vunja kitanda changu nimekunulia na feni msisweti mke wangu kama majasho mkimwaga litumie taulo langu
BRIDGE
Naaa Baya lako zuri kwangu yote nimekusamehe kosa la kwako lawama kwangu acha tu nijitetee
Furaha yako furaha yangu sipendi unyong’onyee ukimpenda rafiki yangu sema nikutongezee
Utamu wa pipi ni mate yangu wapika na mimi wanakula wenzangu
Ona nakosa siti kwenye gari langu kuleni embe acheni kokwa langu
CHORUS
Nateswa nateswa mwenzenu nateswa na mapenzi
Jamani nateswa nateswa mwenzenu nateswa na mapenzi
VERSE 2
Mapenzi anapanga maanani sitaki kuruka kuruka sawa ni pande kichwani ukichota itashuka
Niite mfanyakazi wa ndani huna haja kusumbuka kwani anakuja muda gani niwatandikie shuka
Siogopi kushare ila usisahau kinga japo kwangu fedheha kuku wa chando nashinda
Kweli wanionea nakubali we ndo bingwa nipo radhi kulea kama wakikupa mimba