Mwambieni Nampenda Bila yeye
Mi siwezi mwambieni Nampenda
Bila yeye Mi siweziAti simtaji jina
Fundi wa Raha zangu Kiboko yangu
Sio mpaka niseme Yule nina mpenda sana
Roho yangu Anajijua
Mwenye moyo wangu Sio mpaka niseme
Kwanza tuanze rangi yake
Aaaah jamani ipo mwake
Natamani nione kopo lake
Amenunua wapi duka lake
Kisha tuje kwenye umbo lake ah!
Hapo lazima udate Usije kutokwa mate
Mambo ya uturuki tuyaache
Maana mtoto kanawiri
Jaama! kumuacha uwe jasiri saana!
Nimeshindwa kuwa bahiri
Mama! we nichune hadi kandambili
Sawa
Babe pose geuka freeze
Nipe tabasamu la picha cheese
You are so mwaaa!
You are so cute
Kwako nime wehuka kabisa chizi
mwambieni
Nampenda Bila yeye
Mi siwezi mwambieni
Nampenda Bila yeye
Mi siwezi Ati simtaji jina
Fundi wa Raha zangu Anajijua
Kiboko yangu Sio mpaka niseme
Yule nina mpenda sana (Anajijua)
Roho yangu Mwenye moyo wangu (Anajijua)
Sio mpaka niseme
Leo nawatambulisha
Mliokuwa hamjui
Hapa ndo nimetika mwenzenu
Shemeji yenu huyo Kwake najibebisha
Usiku asubuhi
Tongonza tongoza ama zangu ama zenu
Kwake najibebisha
Usiku asubuhi
Tongoza tongoza ama zangu ama zenu
Shemeji yenu huyo
Ye ndo tiba ya mwili
Mama anituliza akili…Jama
Ma Ex mtasubiri
Sanaaa
Kumuacha sitikiriii
Oooh! oh!
Pose Geuka Freeze
Nipe tabasamu la picha cheese
You are so mwaaaa!!!
You are so cute
Kwako nimewehuka kabisa chizi
Mwambieni Nampenda Bila yeye
Mi siwezi mwambieni Nampenda
Bila yeye Mi siweziAti simtaji jina
Fundi wa Raha zangu Kiboko yangu
Sio mpaka niseme Yule nina mpenda sana
Roho yangu Anajijua