[Lyrics] Tommy Flavour – Nakuja Remix (Ft. Marioo, Darassa & Maua Sama) Lyrics

I gotta stay on ground

Bado nna mishemishe

Nimesahau birthday ya Sista

Nenda unaniwakilishe

Hakunaga suspicion

Hata wajirahisishe

Wengi had the same vision

Kucomplete this mission

Mi ndo msingi na ndo

Nshakuwa mdingi

Hii ni game ya ushindi

Na nimeshaingia kingi

Niko huku niko kule na nishapita Shilingi

Mambo sio mepesi kupita pita vigingi

Aaaah a soldier hustle zimenoga

Shopping Fashionova

Nakuletea nguo pia viatu na mikoba

Kwa sonara kuna pete nimeweka oda

Ntajiiba mara moja go hide no tell

There’s a place we gon stay

The suitable room for you

And its already paid

East and drink swim like a mermaid

Am coming to play

Daddy his on her way baby

Nakuja baby nakuja

Njiani nachanja mbuga

Nakuja baby nakuja allow me baby nakuja

Nakuja baby nakuja allow me allow me baby nakuja

Nikamate Nikamate Nikamatie Kamarie usinibwage

Baby hold me down ntulieee eeeh

Nipatie yote hiyo ya kwangu mimi eeeh

Unapogusa gusa niko hoi

Haupoi hauboi

Popote naposhika naenjoy

Sikatai sichomoi

Nakuja baby nakuja allow me baby nakuja

Nakuja baby nakuja allow me allow me baby nakuja

Kama ajali mie kwako nyang’anya

Uhodari utafanya nilie wakininyang’anya

Nakuja baby nakuja allow me baby nakuja

Nakuja baby nakuja allow me allow me baby nakuja

Ooh baby njoo njoo njoo kulosa

Uwooh wooh

Oooh baby come come come kulosa

Uwooh wooh

Kwani umeumbwa kwa udongo ama umefinyangwa kama dongo

Baby kwani umenipiga zongo walah umefinyangwa kama dongo

Nakuja baby nakuja allow me baby nakuja

Nakuja baby nakuja allow me allow me baby nakuja

Kama ajali mie kwako nyang’anya

Uhodari utafanya nilie wakininyang’anya

Nakuja baby nakuja allow me baby nakuja

Nakuja baby nakuja allow me allow me baby nakuja

Kama ajali mie kwako nyang’anya

Uhodari utafanya nilie wakininyang’anya

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…