[Lyrics] Tundaman – Badman ft. Harmonize Lyrics

Lyrics
Mimi sio mwanaume wa panga
Wala sio mwana ume wa shoka
Ila nina roho mbaya mpaka wachawi wanaogopa
Kwangu mke bora anapatikana kimboka
Nishawahi fanya balaa mpaka shetani anaogopa
Nishauwa sana panya bila kutumia sumu
Nishatumiaga beseni kubebea majukumu
Mwenzenu kumpiga bosi kwangu sio kazi ngumu
Mtoto wa miaka miwili nambutisha ndumu
Yani naogopwa kama kelele za mwizi
Ukipanga kuniloga jua unaloga chizi
Kwenye bwawa la mamba mi napiga
Mbizi na nikifa siachi pengo naacha fizi
Oya mi mtu mbad
Wanangu mi mtu mbaya
Oya mi mtu mbad
Wanangu mi mtu mbaya
Ataukienda kwa mganga
Kutambika jina langi atakujibu nishazikwa
We soma matanga mi niibuke na wanangu tunakula kitakachopikwa
Njia nilizopita hazinaga mfano
Mwenzako nimeshapita hadi tundu la Sindano
Lengo kutimiza ndoto na sio mashindano
Ndio maana nauwasha moto, na sina mfano
Sina tatizo na walio panga kunikomoa
Nawasalimu mliosema sitatoboa
Mtaani ngoma zinahit mpaka zinaboa
Tena Siimbi sana na smoke na kukohoa (Khokho)
Mimi ni kioo nitazame ujione
Ukiweza ninachofanya ebu fanya tuone
Aiza ufe upone sina zihaka hata tone
Naukijifanya unanijua mi sitaki unione
Sifa za tembo sikuzote uwaga mpole
Ingawa nasiri nzito za aristote lokole
Yani ukimuuzi sana atakupa kidole
Iki cha kati uko kwa mtogole
Oya mi mtu mbad
Yani wahuni nisha oza nishachanganyikiwa
Wanangu mi mtu mbaya
Ukijitusu kunichokoza utachanga mkiwa
Oya mi mtu mbad (eyi ehe eyi ehe ehe eeee)
Wanangu mi mtu mbaya (eyi ehe eyi ehe eeee eee)
Mwenzenu kuku wa kafala si tupi nakula mpaka vibudu
Simuogopi mwanadamu mwenzangu kwa MUNGU ndio nasujudu
Demu unaemuona nyota ukilala unamuota
Wauni tushapiga uwa galagaza
Siku umemuokota
Kakuona unasota unampiga na picha na unamsambaza

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2023.

I need help with…