[Lyrics] Zuchu – Naringa Lyrics

Lyrics
Mh-mmh
Nani Roney?
Ah, Roney (he-hey, yoh Tron)
Sing, mmh, eeh
Let sing, come on, eeh
Sioni aibu, kwa kila linalo nifika
Maana kukosea ni wajibu
Mola ameshaandika
Na sianguki, mimi nimechaguliwa
Nnae mtegemea hachoki
Hajawahi kupitiwa
Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
Vinanipa ujasiri
Nakua gado kamili
Ukitaka kunidhuru mie
Upite kwake kwanza
Mungu wangu halali
Ana ulinzi mkali
Na ndio mana
Naringa, naringa, naringa, naringa, naringa
Nalindwa na mungu
Msinione navimba, navimba, navimba, navimba, navimba
Nalindwa na mungu
Raise your glass
Cheers to the Lord
Roho mbaya, ubinafsi hajaumbiwa nyungu nyungu
Wala mtu mwenye maarifa
Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu
Mtayasema nikifa ah, eh
Unaniona napambana, kwa tabu na dhoruba
Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng’o
Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa
Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa roho, heh
Na sianguki mimi nimechaguliwa, aah
Nnae mtegemea hachoki
Hajawahi kupitiwa, hey
Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza
Vinanipa ujasiri
Nakua gado kamili
Ukitaka kunidhuru mie
Upite kwake kwanza
Mungu wangu halali
Ana ulinzi mkali
Na ndio mana
Naringa, naringa, (ooh) naringa, naringa, (mimi) naringa
Nalindwa na mungu
Msinione navimba, navimba (ooh)
Navimba, navimba, (aaiya, eh) navimba (aiya, aiya)
Nalindwa na mungu (aah, wee)
Call me Slizer

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…