[Lyrics] Dj Seven Worldwide – Say Yes (ft. Harmonize) Lyrics

Lyrics
Mmm aaaa I made this for you babe my babe boo
Nilekeze mapungufu yako
Maana nikikutazama unahitaji mtu wa kumuamini
Nifanye mimi
Niambie shida zako pindi unapokwama , usiogope kuniambia mimi Chonde niamini.
Nifanye niwe wako
Wa kwako peke yako , na utu wangu Mali yako
Am yours babe , nimechagua kukupenda, iwe Kwa kuku dagaa ama mlenda , mbivu na mbichi masiku yatakwenda am yours babe
Babe kitendawili tega
Naziona popo mbili macho
Oo yes babe macho yamekuona wewe
Babe kitendawili Tena
Naziona popo mbili macho
Macho yangu Mimi Mamy yamekuona wewe
Babe just say yes
Can you say yes
just say yes nakupendaa
Babe just say yess
Can you say yesss
Just say yess nakupendaaa
Ulivyogo loyal
Kitanda nakusifu choyo
Unawanyima hadi wakubwa
Kiumri ni mdogo akili yako kubwa
Na kama nikikuudhi niambie
Lazima nitasema sorry babe
Najua jinsi ya kusema sorry babe
Na Kama nikikera niambieeee
Lazima nitasema sorry babe
I know how to say sorry
Nifanye niwe wako , wakwako peke yako
Na utu wangu Mali yako am yours babe
Nimechagua kukupenda , iwe Kwa kuku dagaa ama mlenda ,
Mbivu na mbichi masiku yatakwenda.
Am yours babe
Babe kitendawiiili tega
Naziona popo mbili macho
Oo yes macho yamekuona wewe
Babe kitendawili tega
Naziona popo mbili macho
Macho yangu Mimi Mamy yamekuona wewe eyeee
Babe just say
Can you say yes just yes nakupendaa
Babe just say yess can you say yes
Just say yes nakupendaa
Konde boy Call me number one
Bakhresa
For the deal chopa chopa
You know what hahaa it’s dj seven worldwide baby .
Babe I choose you , yes I choose you ..

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…