[Lyrics] Harmonize – Best Friend Lyrics

Best Friend Lyrics By Harmonize Ft Alice Kella Below:

Mi nawe ni kufa na kuzikana mara twacheka tunanuniana

Na kila tunapokwazana tunapatana me and you my best friend

Liwe la usiku ama liwe la mchana liwe kwenye nafasi au palipobana

Mpaka tukashindwa kuonana tutapigiana me and you my best friend

Baby wangu atanipa mandingo kila nnachotaka ntapata

Ila siku nikiwa single wewe ndo wa kwanza kukufwata

Na isitoshe unanijua vyema Ooh rafiki mwema my best friend

Oh Lala la Lala Lala Lala

My best friend My best friend My best friend My best friend

Cha kwetu sote kikubwa kidogo na hujawahi nilamba kisogo

Niki sema kwa ubaya unageuka mbogo unaanziasha zogo Ooh my best friend

Walitaka watacheka watanuna si tukikaa kuwateta kwetu suna

Na tulivyoshibaba sie mfano hakuna kwangu ubaya hakuna my best friend

Baby wangu atanipa mandingo kila nnachotaka ntapata

Ila siku nikiwa single wewe ndo wa kwanza kukufwata

Na isitoshe unanijua vyema Ooh rafiki mwema my best friend

Oh Lala la Lala Lala Lala

My best friend My best friend My best friend My best friend

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…