[Lyrics] Joozey – Namficha ft Harmonize Lyrics

Tafadhali Tafadhali

Ka uko na baby ifiche mbali

Yani kuna wanaponda mali

Basi wanamwaga madolali 

Wanaagiza Wanaagiza dorime 

Kama una hela za mawazo nunua ushamba ukalime

Wanaagiza Wanaagiza dorime

Taratibu na tungi la ofa usije lewa uzime 

Oya dada ficha danga lako 

Siku hizi mjini kila demu ana matako 

Na kama ukibisha ushauri yako 

Mmmh inakaribia kula kwako 

Me wangu namficha 

Namficha kwapani 

Namficha namficha kwapani 

Eeeh namficha namficha kwapani 

Baby wangu namficha namficha kwapani 

Oooh Aaaah Eeeeh Mmmh 

Eti nimwache nimwache nimwache nani 

Nimwache nimwache nimwache nani 

Nauliza nimwache nimwache nimwache nani 

Nimwache nimwache nimwache nani 

Eti nimwache nimwache nimwache nani 

Nimwache nimwache nimwache nani 

Ona mafisi wale wanavyoitazama pisi kali 

Sio kama na-wa diss wale 

Baby wangu hawezi kwenda kirahisi pale 

Oya dada ficha danga lako 

Siku hizi mjini kila demu ana matako 

Na kama ukibisha ushauri yako 

Mmmh inakaribia kula kwako 

Me wangu namficha 

Namficha kwapani 

Namficha namficha kwapani 

Eeeh namficha namficha kwapani 

Baby wangu namficha namficha kwapani 

Oooh Aaaah Eeeeh Mmmh 

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…