《IT’S ANOTHER CA$E》
[Verse 1]
Labda ameni safiria malimbwata na mivuto, sijui
Au mola amenikutanisha ‘na mama wa wanangu, sijui
Maana moyo ameugaragaza, ameufanya nini, sijui
…
Chake chungu, siepui
[Pre-Chorus]
Mambo poa, sasa nitaoa
Salaam ziende kwa mama ‘mwanae nime kua
Mambo poa ‘washkaji naoa
Ule utoto, makuzi basi
Wanangu tume kua
[Chorus]
Siku hizi tuna kwenda ki ‘gentleman
Mmm…
(Gentleman)
Gentleman
(Gentleman)
Gentleman
(Gentleman)
Gentleman
Mmm…
Gentleman
Woah, gentle
(Gentleman)
You might also like
Bomba
Kayumba
yes, and?
Ariana Grande
BACK TO ME
Kanye West & Ty Dolla $ign
[Hook]
“Kama kweli una couple mposti mwenzako”
[Verse 2]
Oh my baby lie, lie, lie, lie, lie, lie
Nafanya chochotе ili nikuone ukifurahi
No excuse (?) usijе sema bye-bye (Usije sema bye-bye)
Aki nuna yes nambembeleza
Cause (?)
Na mpa muda wangu, namskiliza, it’s my joy
She is my best friend
She is my only one
African girl, number one
Woah
Yupo na gentleman
[Pre-Chorus]
Mambo poa, sasa nitaoa
Salaam ziende kwa mama ‘mwanae nime kua
Mambo poa ‘washkaji naoa
Ule utoto, makuzi basi
Wanangu tume kua
[Chorus]
Siku hizi tuna kwenda ki ‘gentleman
Mmm…
(Gentleman)
Gentleman
(Gentleman)
Gentleman
(Gentleman)
Gentleman
Mmm…
Gentleman
Woah, gentle
(Gentleman)
[Outro]
“Kama kweli una couple mposti mwenzako”
《KA MIX LAIZER》