[Lyrics] Mavokali – Wapo ft. Jux Lyrics

Nishajipata sasa mi stress za nini

Nishajipata nipeni nafasi

Matumizi ya kwangu mie inawaudhi nini

Kelele za nini jama inawauma nini

Wewe una wako

Mimi nna wangu

Wivu wa nini

Wivu wa nini

Pesa za kwako mimi nna zangu

Chuki za nini

Chuki za nini

Ahyaaaaa

Kelele kelele Keleleeh

Wanahoji kwanini

Wanahoji kwanini

Kelele kelele Keleleeeh

Wanauliza kwanini

Wanahoji kwanini

Wabaya wapo wapo wapo

Wabaya wapo usione hawaongei

Najua wapo

Wabaya wapo wapo wapo

Wabaya wapo usione hawaongei

Mmmh kuna nyinyi alafu kuna yeye baba

Kuna mimi alafu kuna wewe eeh

Kama yako ipo siku utapata

Now is my time mimi nimejipata

Hivi sasa nina trip ya Dubai

Na magoma yanahit everyday

Cha ajabu Baba God uwaga hakosei

Si mnaona

Na nilivyo mnyonge wala siongei

Wanaficha kete sipotei

Na hata pande zao huwaga sitokei

Hutoniona Mmmh Mmmh

Wabaya wapo wapo wapo

Wabaya wapo usione hawaongei

Najua wapo

Wabaya wapo wapo wapo

Wabaya wapo usione hawaongei

Kelele kelele Keleleeh

Wanahoji kwanini

Wanahoji kwanini

Kelele kelele Keleleeeh

Wanauliza kwanini

Wanahoji kwanini

Click to Comment

Leave a Reply

.

Designed by Admalic Inc.  BMB © 2024.

I need help with…